msgid "Your account balance is %s"
msgstr "Salio lako ni %s"

msgid "Your request has been sent. %s will receive %s %s from %s."
msgstr "Ombi lako limetumwa. %s atapokea %s %s kutoka kwa %s."

msgid "Thank you for using Sarafu. Goodbye!"
msgstr "Asante kwa kutumia huduma ya Sarafu. Kwaheri!"

msgid "For more help, please call: 0757628885"
msgstr "Kwa usaidizi zaidi, piga: 0757628885"

msgid "Your account has been locked. For help on how to unblock your account, contact support at: 0757628885"
msgstr "Akaunti yako imefungwa. Kwa usaidizi wa jinsi ya kufungua akaunti yako, wasiliana na usaidizi kwa: 0757628885"

msgid "Balance: %s\n"
msgstr "Salio: %s\n"

msgid "Your invite request for %s to Sarafu Network failed. Please try again later."
msgstr "Ombi lako la kumwalika %s kwa matandao wa Sarafu halikufaulu. Tafadhali jaribu tena baadaye."

msgid "Your invitation to %s to join Sarafu Network has been sent."
msgstr "Ombi lako la kumwalika %s kwa matandao wa Sarafu limetumwa."

msgid "Your request failed. Please try again later."
msgstr "Ombi lako halikufaulu. Tafadhali jaribu tena baadaye."

msgid "Community Balance: 0.00"
msgstr "Salio la Kikundi: 0.00"

msgid "Symbol: %s\nBalance: %s"
msgstr "Sarafu: %s\nSalio: %s"